У нас вы можете посмотреть бесплатно HOTUBA YA RAIS DKT.MAGUFULI KWENYE SHEREHE YA KUAZIMISHA MIAKA 56 YA TANZANIA BARAM или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Desemba, 2017 alioitoa wakati wa kusherehekea maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma. Sherehe hizo zimehudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Spika wa Bunge wa Bunge la Morocco Mhe. Hakim Benchamach, Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na viongozi wengine wastaafu na wanaoongoza taasisi mbalimbali.