У нас вы можете посмотреть бесплатно Hisabati:Marudio_ zoezi la saba или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ZOEZI LA SABA. Ni maswali kwa ajili ya kujiandaa na mtihani wa Hisabati darasa la saba 1. watano hufanya kazi fulani kwa saa 64. Watu wangapi zaidi watahitajika, ikiwa kazi hiyohiyo inatakiwa ifanywe kwa muda wa masaa 40 tu 2..Juma aliweka fedha yake sh280,000 katika benki inayotoa riba ya 6½% kwa mwaka. Ikiwa baada miezi 21. Juma alichukua fedha yake yote kutoka benki. Je alichukua fedha kiasi gani? 3..Pikipiki ilisafiri kutoka kituo A kwenda kituo B, umbali wa kilometa 450, kwa muda wa saa 3 na kurudi kituo A, kwa muda wa saa 5. Tafuta wastani wa mwendokasi, ilyotumia kwa safari zote mbili 4..Denis ana miaka 16 pungufu ya Enock. miaka minne iliyopita umri wa Enock ulikua mara nne ya umri wa Denis wakati huo. Tafuta umri wa Denis wa sasa. 5.John aliwagawia watoto wake watatu Kened, Pendo na Koku, kiasi cha sh 10000 kama ifuatavyo. Kened alipata ⅖ ya pesa yote, Pendo alipata ¼ ya kiasi kilichobaki na Koku alipata kiasi chote kilichobakia. Tafuta kiasi alichopata Koku.