У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikulu #raissamia #uvccmtaifa #ccmtaifa #ikuluzanzibar #wazirimkuu #tanzaniahabari #thtv #wizarayamamboyandani #wizarayaujenzi #wizarayaelimu #tamisemi #bungelatanzania #bungedodoma #rcmwanza #uvccm #uvccmmwanza Wizara ya ujenzi nchini, imemuagiza mkandarasi anayejenga daraja la Mkuyuni na barabara mbili za njia nne wilayani Nyamagana jijini Mwanza Kampuni ya Jasco, kukamilisha ujenzi huo Januari mwakani, ili kuepusha adha ya mafuriko ya kila mara na usafiri inayowakabili wakazi wa jiji hilo. Mvua zinaponyesha, wananchi wa maeneo hayo hujikuta wakipata hasara kubwa ya upotevuwa wa mali, kushindwa kufanya shughuli zao za kibiashara na kubomokewa makazi kutokana na mafuriko, yanayosababishwa na mvua hizo zinazonyesha kila msimu wa mwaka. Abdallah Ulega, ni Waziri wa ujenzi anayefika katika eneo hili kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo, uliofikia asilimia 75% na kuigharimu serikali zaidi ya shilingi bilioni tano. Baada ya maelekezo hayo kutolewa, Meneja wa Kampuni ya Jasco inayotekeleza mradi huo SunDeep Bach, ameahidi kuwa watakamilisha mradi wa daraja hilo kwa wakati.