У нас вы можете посмотреть бесплатно TAZAMA UTUNDU/HISTORIA NA UDAMBWIDAMBWI WA FEISAL, FEI TOTO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni katika safari na maisha ya soka Feisal Salumu Abdallah maarufu kama Fei Toto itambue safari ya maisha halisi ya feisal katika soka ambapo rasmi alianza kukipiga mechi za mchangani na wenzake maarufu kama ndondo huko mji wa kaarafu unaounganisha miji miwili Unguja na Pemba Zanzibar nyota yake ilianza kung'aa akiwa na klabu yake ya JKU hali iliyompelekea kuonwa na wana wa singida united na baada ya sintofahamu Feisal kumwaga saini yake kwa Wanajangwani Yanga, kocha wa taifa stars wakati ule Emmanuel Amunike alishangazwa sana na talanta ya feisal huku wachezaji wakongwe idd chuji na lunyamila wakisifu jitihada za feisal uwajani. Mpaka sasa feisal amejizolea umaarufu mkubwa nchini tanzania mashabiki wengi wanaimba jina lake kutokana na aina ya uchezaje wake huku wengi wakimnadi kuwa yeye ni hazina kwa Taifa la Tanzania #FEITOTO #YANGA #SIMBA #LUNYAMILA #CHUJI #AMUNIKE #MKAPA #ZANZIBAR #UNGUJA