У нас вы можете посмотреть бесплатно MKE WA RAIS WA MALAWI ANENA ALIVYOGUSWA BAADA YA KUFIKA KITUO CHA UPANDIKIZAJI MIMBA KUJIONEA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mke wa Rais Wa Malawi Monica Chakwera amewapongeza watoa huduma za matibabu ya kibingwa za huduma ya kupandikiza mimba kwa akinamama wanaokosa watoto wa njia ya kiasili (Kujamiana). Akizungumza na Waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea kituo cha Upandikizaji Ujauzito cha Kairuki amesema ipo haja ya kutafuta fedha kwa ajili ya kusaidia tatizo hilo Afrika. Naye Mkurugenzi wa kituo cha Upandikizaji Ujauzito cha Kairuki Dkt.Asser Mchomvu amesema ni wakati sahihi wa kushirikiana na nchi mbalimbali kwa lengo la kujengeana uzoefu katika huduma hizi muhimu za kitabibu leo imekuwa bahati kwetu kati ya Tanzania na nchi ya Malawi kujadiliana maendeleo ya huduma hii. Katika hatua nyingine Mkurugenzi Dkt,Mchovu amesema huduma hizo zilianza mwaka mwaka 2022 na mpaka sasa kimeshatoa watoto zaidi ya 80 wa njia ya upandikizaji na kimesaidia mpaka nje ya nchi kupata watoto kama nchi za Kenya, Marekani, Uingereza na hapa nchini.