У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴Khutba ya ijumaa | fadhila za mwezi mtukufu wa Ramadhani (Sheikh Chande) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Bismillāhi r-Raḥmāni r-Raḥīm 🕌 Khutba ya Ijumaa 🗓 Ijumaa: 20/02/2026 🎙 Khatwib: Abdullatwif Alatanga Kivambe (Chande) 📍 Mahali: Masjid Taqwa 📝 MADA: Fadhila za Ramadhani Katika khutba hii muhimu, Khatwib anaelezea fadhila na baraka kubwa za mwezi mtukufu wa Ramadhani, akiwahamasisha Waumini kuutumia mwezi huu adhimu kwa kuongeza ibada, toba ya kweli, kusoma Qur’an, kusaidiana na kujiepusha na maasi. 📖 Ushahidi wa Qur’an na Hadithi: “Mwezi wa Ramadhani ni mwezi ambao imeteremshwa Qur’an, uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi.” (Qur’an, Al-Baqarah: 185) Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Anayefunga Ramadhani kwa imani na kutarajia thawabu, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia.” (Imepokelewa na Bukhariy na Muslim) Na Mtume ﷺ amesema pia: “Ramadhani ni mwezi wa mwanzo wake ni rehema, kati yake ni maghufira, na mwisho wake ni kuokolewa na Moto.” (Imepokelewa na Bayhaqiy) 📢 Tunawahimiza Waumini wote kusikiliza khutba hii kwa makini, kuitafakari na kuisambaza kwa wengine ili kheri ifike kwa wengi. 🔔 USISAHAU ✅ Subscribe channel 👍 Like video 💬 Andika maoni yako 🔁 Share kwa ndugu na marafiki