У нас вы можете посмотреть бесплатно Baraka Ayubu abuni teknolojia ya ‘A.Possible’ kuboresha elimu na afya ya akili Tanzania или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Wakati dunia ikijiandaa kusherehekea Siku ya Elimu Duniani ifikapo Januari 24, 2026, kijana Baraka Ayubu mwenye umri wa miaka 18 ni Mchechemuzi wa Vijana wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF nchini Tanzania akijikita kwenye Elimu na Uvumbuzi wa apu A Possible aliyoibuni kupitia Programu ya Apps and Girls Coding and Entrepreneurship. Apu hiyo inalenga kutatua changamoto za wanafunzi kama vile upatikanaji wa nyenzo za kujifunzia na msaada wa afya ya akili. Kazi ya Baraka inatafsiri upya elimu na ustawi kwa wanafunzi nchini Tanzania na kufanikisha lengo namba 4 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs kuhusu Elimu Bora. Rashid Malekela wa Idhaa hii amezungumza na Baraka Ayubu kufahamu mengi kuhusu Apu hiyo.