У нас вы можете посмотреть бесплатно RC RUVUMA AKABIDHI GARI LA ZIMAMOTO NYASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amekabidhi gari jipya la zimamoto lenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kutoa huduma za kuzima moto na uokoaji katika Wilaya ya Nyasa. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Mbamba Bay, RC Ahmed amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kulinda maisha na mali za wananchi kwa kuboresha miundombinu pamoja na vitendea kazi vya vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na uokoaji.