У нас вы можете посмотреть бесплатно Balozi Mulamula Asisitiza Congo Lazima Ijenge Uwezo wa Kujilinda na Umuhimu wa Mazungumzo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Akizungumza katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya DUPSA, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Februari 08, 2025, Balozi Liberata Mulamula amesisitiza umuhimu wa Congo kuwa na uwezo wa kulinda mamlaka na uhuru wake. "Hakuna nchi yeyote inaweza ikakulindia nchi, kama nchi, una jukumu la kulinda uhuru na mamlaka yako, hakuna atakayekusaidia." Mulamula alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa Kongamano la kimataifa la maziwa makuu. Kongamano lililoundwa na nchi za maziwa makuu kwa ajili ya utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Congo. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.