У нас вы можете посмотреть бесплатно KUTOKA NAFASI YA 4 HADI KUIFIKIA NAFASI YA 3 NI MUNGU TU:- Mwalimu mkuu - Canossa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
@Gel.Tv imefika hadi maeneo ya Tegeta iliyopo shule ya Canossa High School na hapa Mwanandishi wetu Mwanahamisi Simai anafanya mazungumzo na Sr.Irene Nakamanya ambaye ni mkuu wa shule ya sekondari CANOSSA. "Mwaka 2019 shule ya Canossa ilishika nafasi ya 4 katika mitihani ya kidato cha nne, lakini kwa mwaka 2020 imeshika nafasi ya 3, je ni nini kinafanya shule hio kuzidi kufanya vizuri kila iitwapo leo? Msikilize hapa mkuu wa shule ya Canossa - Sr. IRENE NAKAMANYA. @globaleducationlink WE SHOW YOU HOW💪 KUPATA HUDUMA ZETU PIGA: Makao Makuu Dar es salaam 0656 200 200 / 0677 600 100 Arusha 0677 200 100 Dodoma 0677 300 700 Mbeya 0677 500 800 Mwanza 0677 400 500 Zanzibar 0772 158 158 Pia unaweza kuapply chuo moja kwa moja katika tovuti yetu. 🚩 (link kwenye bio) www.gel.co.tz #YourCareerBeginsHere #StudyAbroad #SomaNjeYaNchi #2020 #WeShowYouHow