У нас вы можете посмотреть бесплатно JESHI LA SIRI LINALOMLINDA RAISI IBRAHIM TRAORE/NDEGE YAKE IKIPAA HAIONEKANI KWENYE RADA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Burkina Faso iko kwenye kipindi cha mabadiliko makubwa, na jina moja limekuwa gumzo—Captain Ibrahim Traoré! Lakini je, yuko salama? Kuna njama za kumuangusha? Na ni kwa nini wananchi wake wanampenda kwa kiwango hiki? Katika mazungumzo haya ya kipekee, Gabo ameingia ndani ya undani wa hali ya kisiasa nchini humo akizungumza na Mc Petit , raia wa Burkina Faso ambaye anafichua ukweli kuhusu: ✅ Usalama wa Captain Traoré ✅ Maadui wanaotaka kumuondoa ✅ Sababu ya mapinduzi na jinsi wananchi wanavyompokea Haya ni mahojiano ambayo hupaswi kukosa!