У нас вы можете посмотреть бесплатно UTATENGENEZAJE PESA ZAIDI YA MSHAHARA? ~ Emilian Busara | или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuona na Kutumia Fursa – Sehemu ya 1 🎙️ Na: Emilian Busara 📌 #FURSA | #WealthBeyondSalary | #HWMEDIA Je, unataka kuondokana na utegemezi wa mshahara pekee? Katika video hii ya kwanza ya mfululizo wa Wealth Beyond Salary, Emilian Busara anafafanua: ✅ Namna ya kuzitambua fursa zinazokuzunguka ✅ Mbinu za kuzigeuza kuwa kipato halisi ✅ Mtazamo sahihi wa kifedha nje ya ajira ya kawaida Hii ni sehemu ya mfululizo wa video zinazolenga kukuinua kiuchumi kwa kutumia maarifa, ubunifu, na hatua madhubuti. 👇 Tuambie kwenye comment: Ni fursa gani umeona lakini bado hujaitumia? -------------------------------------------------------------------------- 🔔 Subscribe kwa channel ya H.W Media kwa mfululizo kamili na mafunzo mengine ya maisha, fedha, ujasiriamali, na uongozi. 📤 Share video hii na mtu yeyote anayetaka kuanza safari ya uhuru wa kifedha. ............................................................................... Video Credits : CCC Upanga #Miradi #Kazi #Nyumba #Uchumi #Emilian #Busara #Hisa #Utt #uwekezaji #fedha #mapato #Mafanikio #Kipato #FedhaSmart #Uwekezaji #BiasharaNdogo #UhuruWaKifedha Welcome to the home of positive vibes!