У нас вы можете посмотреть бесплатно VIKWAZO VITANO KATI YA KUMI VYASHUGULIKIWA KATIKA MPAKA WA TUNDUMA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VIKWAZO VITANO KATI YA KUMI VYASHUGULIKIWA KATIKA MPAKA WA TUNDUMA. Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya mambo ya nje na ushurikiano wa Afrika mashariki na wizara ya mambo ya nje ya nchini Zambia imefanikiwa kutatua changamoto tano kati ya kumi zilizokua zinasumbua katika mpaka wa Tanzania na Zambia katika mji wa Tunduma hali inayosababisha kua na foleni kubwa ya maroli huku madereva wakiteseka kwa kuchukua siku nyingi kuvuka na mswala mengine ya kiforodha. Hayo yamesemwa na waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki wa Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipofika katika kituo cha forodha cha pamoja cha Tunduma na kufanya mazungumzo yaliyochukua zaidi ya masaa 6 na waziri wa Zambia anayeshughulikia mambo ya nje na watalaam kutoka pande zote na kusema moja ya jambo kubwa lilikua linasumbua ilikua na skana hasa upande wa Zambia ambapo kwasasa wameliweka sawa na serikali ya Tanzania imewanunulia scanner moja zambia kuongeza uharikishaji wa ukaguzi wa mizigo katika nchi hiyo. #CloudsDigitalUpdates