У нас вы можете посмотреть бесплатно RC CHACHA ATANGAZA DONGE LA MILIONI 50 ATAKAYESAIDIA KUPATIKANA MTUHUMIWA WA MAUAJI TABORA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amewahakikishia wananchi wa Mkoa huo kuanzia mijini hadi vijijini kuwa hali ya usalama imeendelea kuimarishwa na vyombo vya dola, licha ya kujitokeza kwa matukio kadhaa ya mauaji katika siku za hivi karibuni ambayo yameendelea kudhibitiwa. Hata hivyo, Chacha ametangaza zawadi ya shilingi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayesaidia kufanikisha kukamatwa kwa mwanaume mmoja katika Wilaya ya Kaliua, anayedaiwa kuwaua watoto wawili wa mkewe na kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoweka kusikojulikana. Mhariri | @rajjmsangi #UFMUpdates