У нас вы можете посмотреть бесплатно BINGWA-SIMU YA MBINGUNI 1 ( HEAVEN CALL 1) _(KANISA) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE HIKI NI KIPINDI CHA UAMSHO KILA MMOJA AJICHUNGUZE NA APATE KUSIMAMA KATIKA NAFASI YAKE ILI BWANA YESU KRISTO ATUTUMIE VYEMA KAMA VYOMBO VYAKE JINSI APENDAVYO Ufunuo wa Yohana 2:4-7 [4]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza. . [5]Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu. [6]Lakini unalo neno hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo na mimi nayachukia. [7]Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu. AMEEN #gospelhiphop #gospel #gospelmusic #gospelsongs #gospeltanzania #gospelkenya #gospelrwanda #gospelafrica #injil #nenolaleo #nenolamungu #neno #wokovu #yesu #yesukristo #yesukristu #mungukwanza #mungu #mungunimwaminifu #bwananikufananishenananicatholicsong #bwana much respect MACUBE studio 🎙️ producer BOYDAVID director bonny pro