У нас вы можете посмотреть бесплатно MHE ADO SHAIBU AJA NA MKAKATI WA KUWASAIDIA BODABODA WA TUNDURU KASKAZINI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Mhe Ado Shaibu, amesema vijana wanaojihusisha na biashara ya bodaboda katika jimbo hilo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa ni masherti ya mikataba ya pikipiki, hali inayowafanya wengi wao kushindwa kujikwamua kiuchumi. Akizungumza na vijana wa bodaboda wa Jimbo la Tunduru Kaskazini tarehe 22/2/2026 Mhe. Ado Shaibu amesema kuwa vijana wengi wana ndoto ya kumiliki bodaboda zao binafsi, lakini mikataba iliyopo kwa sasa ina masharti magumu na marejesho makubwa yanayowalemea kifedha. Kutokana na hali hiyo, Mhe. Ado ameeleza kuwa ameanza kuchukua hatua za kutafuta suluhisho la kudumu kwa kuwasiliana na muwekezaji ambaye ameonesha nia ya kuanzisha mradi wa bodaboda za umeme katika Tunduru. Ambapo takribani bodaboda 100 zitafika katika jimbo la Tunduru Kaskazini Amefafanua kuwa gharama za uendeshaji wa bodaboda za umeme ni nafuu ikilinganishwa na bodaboda za mafuta, jambo litakalopunguza mzigo wa marejesho kwa vijana na kuongeza faida wanayopata kila siku. Mpango huo unatarajiwa kuongeza ajira, kuimarisha uchumi wa vijana na kuleta mapinduzi katika sekta ya usafirishaji wa bodaboda ndani ya Jimbo la Tunduru Kaskazini na Wilaya ya Tunduru kwa ujumla. SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...