У нас вы можете посмотреть бесплатно "Shoroba Mwalobaini wa Kilimo" - RC Senyamule или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Mageuzi ya Shoroba za Kilimo, Mifugo na Uvuvi (AMP 2050), mpango unaolenga kuharakisha safari ya Tanzania kuelekea uchumi wa kati wa juu. Mpango huo unakusudia kuleta mabadiliko ya kimfumo katika uzalishaji na kuongeza mchango wa sekta hizo katika pato la taifa. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa uhamasishaji wa ukuzaji na uendelezaji wa shoroba za kilimo uliofanyika Februari 12, 2026 mkoani Singida, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamwile, amesema mkutano huo una lengo la kujenga uelewa wa pamoja kwa wataalamu wa mikoa na halmashauri kuhusu dhana na utekelezaji wa shoroba za kilimo kama nyenzo ya mageuzi ya kiuchumi. Mhe. Senyamwile amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeipa kipaumbele sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi kama injini ya ukuaji wa uchumi, ajira na ustawi wa wananchi. Ameeleza kuwa mageuzi hayo yatapunguza gharama za uzalishaji na usafirishaji, kuongeza thamani ya mazao, kuinua kipato cha wakulima, wafugaji na wavuvi, pamoja na kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi huku yakizingatia mabadiliko ya tabianchi. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Ofisi ya Mageuzi ya Kilimo (ATO), Bi. Elizabeth Missokia, amesema shoroba za kilimo ni sehemu muhimu ya mpango huo, zikilenga kuunganisha uzalishaji, usindikaji, uchakataji, usafirishaji, uhifadhi na masoko katika mtandao mmoja unaoratibiwa. Amesema hatua hiyo itaharakisha mageuzi ya sekta hizo na kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi. 👇 Usiache ku-like, ku-share, na kusubscribe ili kufuatilia makala nyingine za maendeleo na uwekezaji Tanzania! #KaribuSingida #FursaSingida #WekezaSingida #MkoaWaSingida #UwekezajiTanzania #TanzaniaInakuwezesha #JengaKesho #WekezaTanzania #ViwandaNaKilimo #SingidaYajengwa #SingidaInavyoletaMaendeleo #SingidaLandOfOpportunities #MadeInSingida #AfyaElimuNaUwekezaji #SingidaGreenEnergy #SingidaTourism #SisiNiSingida #InvestInSingida #SingidaForInvestors #SingidaNdiyoMahali #BiasharaNaMaendeleo #UchumiImara #SingidaOnTheMove #KaribuKuwekeza #KaribuTanzania #WezeshaMaendeleo #SingidaSmartRegion @TBC_Online @BBC @BBCNewsSwahili @bbcradio1 @VaticanNews @simbasctanzania255 @YoungAfricansSCTV @MsemajiMkuuwaSerikali @RTWAFF @singidaonlinetv @kindaiplus @singidars @Singidaplus @ikulutanzania255 @kevingatesTV @Telemundo @gags @YoungAfricansSCTV @AdobeVideo @Adobe @AdobeCreativeCloud @AdobeExpress @Photoshop @Adobeinaminute @adobecreativestation @Substance3D @onesmokisusa @opkstudioz @opkmediaz @opkradio @opkstudioz @opktvs @taha.assaad @CAF_TV @NBA @NBC @crdbbankplc7198 @CrownMediaTZ @millardayoTZA @DJI @tecnoart101 @Apple @AppleIndia @AppleBrasil @AppleMexico @Samsung @SamsungIndia @StudioBinder @SonySAB @sonymusicindiaVEVO @SonyMusicIndia @SonyMusicSouthOfficial @SonyPAL @Oscars @dramaboxapp @fifa @azamtvtz @azamtvtz @EastAfricaTV @EastAfricaRadio @africanews @africanewsfr @aljazeera @channelnewsasia @Wasafi_Media @TheCatholicTablet @SupercarBlondie @KidsTvAfrica @CNN @DWDocumentary @FactDwaar @VOANews @HISTORY @TIME @opkradio @opkstudioz @opkmediaz @onesmokisusa @BBC @VaticanNews @opkradio @VOANews @TBC_Online