У нас вы можете посмотреть бесплатно Alivyojitetea jamaa aliedharau agizo la Rais Magufuli kuhusu korosho Mtwara или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
AyoTV imempata mtuhumiwa Huhai Mohamed Rashid aliyeingiza korosho kimagendo kutoka nchini Msumbiji ambaye amekamatwa na DC wa Newala Aziza Mangosongo ambaye camera ya AyoTV ilimkuta katika ukaguzi wa korosho zinazoingia kimagendo kutoka nchi jirani kupitia mpakani mto Ruvuma ikumbukwe kuwa imepita siku moja tu tangu Rais Magufuli kutangaza bei ya korosho kufikia 3300 kwa kilo moja na korosho hizo kununuliwa na serikali na kubebwa kwa gali za jeshi huku akipiga marufuku uingizwaji wa korosho kimagendo kutoka nje ya TZ