У нас вы можете посмотреть бесплатно Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ? Mapya yameibuka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu Josephat Gwajima, baada ya uongozi wa kanisa hilo kudai kuwepo kwa upotevu na uharibifu wa mali zenye thamani ya Sh2.7 Bilioni. Tukio hilo linadaiwa kutokea katika kipindi ambacho kanisa lilikuwa chini ya ulinzi wa Polisi Tanzania, jambo linalozua maswali mazito kuhusu uwajibikaji na usalama wa mali za taasisi za kidini Kwa sasa, uongozi wa kanisa unasema unasubiri msimamo wa Serikali kabla ya kuchukua hatua zaidi, wakati Polisi Tanzania wakithibitisha kuwa uchunguzi dhidi ya madai hayo unaendelea kufanyika. Hii ni moja ya habari kubwa zinazoendelea kuibua mjadala mpana nchini, huku sakata hili likiacha maswali mengi: Mali hizo zilipoteaje? Nani anapaswa kuwajibika? Na hatua gani zitachukuliwa baada ya uchunguzi kukamilika? Endelea kutazama kwa uchambuzi wa kina, taarifa mpya, na mwelekeo wa sakata hili linalohusisha Gwajima, Kanisa, Polisi na Serikali. 🔔 BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na habari na uchambuzi wa siasa za Tanzania! #siasatanzania #uchambuzi #PolisiTanzania #ccm #askofugwajima #kanisa #HabariZaLeo #KanisaLaUfufuoNaUzima News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/... Artist: http://audionautix.com/