У нас вы можете посмотреть бесплатно JPM Ammwagia Minoti Mama Ntilie Morogoro или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JPM Amempa Laki 1 Mama Aliyejitokeza Mbele Yake! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo machi 15 amezindua kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro. Katika uzinduzi huo ulioambatana na burudani kutoka kwa mwanamuziki Afande Sele, ambaye awali alikuwa mwanachama wa ACT- Wazalendo, kabla ya kujivua uanachama na kuhamia CCM, tukio ambalo alilifanya mbele ya Rais Magufuli katika hafla hiyo. Katika hali ya kushangaza wakati Rais Magufuli akiendelea kutoa hotuba yake, ghafla akatokea mama wa makamo ambaye alisogea mpaka mbele kabisa na kutoa malalamiko yake mbele ya Rais, yanayohusu ushuru mkubwa kwa wamama wanaofanya kazi ya kuuza chakula (Mama Ntilie).] Ambapo baada ya kumsikiliza Rais Magufuli alimuamuru mkuu wa mkoa wa Morogoro, Steven Kebwe, kuhakikisha wamama hao wanafanya biashara yao katika hli nzuri na kuwatatulia changamoto zote, kisha akatoa shilingi Laki moja na kumpatia mama huyo, kisha viongozi wengine waliohudhuria hafla hiyo akiwemo Mbunge wa Morogor mjini Abdulaaziz Abood walijitokeza na kumchangia fedha mama huyo. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .