У нас вы можете посмотреть бесплатно Huduma za afya Siaya kuimarika baada ya kaunti hiyo kusaini mkataba wa ushirikiano или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
AFYA BORA SIAYA Huduma za kina mama na watoto katika kaunti ya Siaya zinatarajiwa kuimarika baada ya serikali ya kaunti kutia saini mkataba wa maelewano na shirika lisilo la serikali, Lwala Community Alliance. Afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo Julius Mbeya amesema wametenga shilingi milioni 150 kufadhili uwekaji wa vifaa muhimu katika vituo vyote vya afya ya umma katika kaunti ya Siaya kwa madhumuni ya kupunguza vifo vya kina mama wanaojifungua kwa takriban asilimia 70. Makubaliano hayo ya miaka mitano pia yatafanikisha utoaji mafunzo kwa wahudumu kuhusu mbinu bunifu za huduma kwa kina mma. Gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo alisifia makubaliano hayo akisema yatapunguza gharama ya matibabu katika kaunti hiyo na akatoa wito kwa wahisani zaidi kujitokeza kupiga jeki sekta ya afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive