У нас вы можете посмотреть бесплатно ROMA Mkatoliki - Teremsha Bunduki (Official Audio) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Intro Ambaa weee x 8 Ambaaaa weeenaa x 4 Chorus Afande teremsha bunduki/ Unaowatetea mbona hawakukumbuki/ Unatuonea unatupiga mabuti/ Mara virungu mara unataka kutushuti/ Eeeeee *2 Hook Afande teremshaaaaaa (Haaaaai Haii Haii) Afande teremsha bunduki (Haii Haii) *4 Verse 1 Anaye andamana hana sindano wala kiwembe/ So kumuua muandamanaji sio ushujaa huo ni uzembe/ Mnabeba silaha nzito akili zenu zisiwe nyepesi/ Jeshi ni wito sio muujiza wa kupuliza gesi/ Nyie mnavunja amani/ Mnapiga raia mahakamani/ Mwisho wapoteze imani/ Waamue kumalizana mtaani/ Hamuheshimu muhimili/ Nyie makatili hamna maadili/ Hamstahili injili/ Labda albadir tena alfajiri/ Wanaofaidika boss zenu sio nyie askari wa chini/ Kwa posho ndogo mnatumwa mtupige sasa kwanini/ Yaani unamuua anayepambania kesho bora ya mwanao/ Huku unamlinda anayekuibia na ukistaafu hakupi mafao/ Watoto wao wana mali/ Wanaendesha bugatti ferrari/ We askari chakari/ Unadaiwa kwa mangi sukari/ Na hauna gari/ Tunagombania mwendokasi ni hatari/ Tukidai mabasi unatupiga risasi we ndo’ muasi/ Hook Verse 2 Unayemuona adui unampiga ndio anaekulipa mshahara/ Ndio mwalimu wa mwanao ndio nesi aliyekufanyia tohara/ Ungana nasi hizo bunduki sio za kumlinda mtawala/ Anayetuibia na kututeka huku akihubiri 4R/ Tuna jobless laki tano anaahidi ajira elfu saba/ Na mnashangilia october mtatiki mtapigwa mnada/ Kama ameshindwa miaka minne ndio ataweza siku mia/ Kafeli bima mnadanganywa kitoto nawahurumia/ Hawaheshimu hata wajumbe ndio chanzo cha hizi vurugu/ Maana wanapitisha wabunge ambao wanaweza kuwamudu/ Tusiruhusu huu uchaguzi/ Ni uchafuzi na ulanguzi/ Wa kipuuzi mashuzi/ Wame-loose fuse/ Wamekata pumzi Chorus Hook