У нас вы можете посмотреть бесплатно "HATUJASAINI UJENZI wa BANDARI ya BAGAMOYO -TUKISAINI HAITAKUWA WAZI SIYO SIRI"- BOSI WA BANDARI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"HATUJASAINI UJENZI wa BANDARI ya BAGAMOYO TUKISAINI HAITAKUWA WAZI SIYO SIRI" BOSI WA BANDARI Dodoma, Tanzania – Serikali ya Tanzania bado haijasaini mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, huku ikisisitiza kuwa iwapo mkataba huo utasainiwa, hautakuwa wa siri. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amebainisha hayo leo jijini Dodoma wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita. Mbossa amesisitiza kuwa, hadi sasa hakuna mkataba wowote uliosainiwa kuhusu ujenzi wa bandari hiyo, lakini serikali itaweka wazi mchakato wowote wa uwekezaji pindi utakapofanyika. "Kama kutakuwa na mazungumzo yoyote ya uwekezaji katika Bandari ya Bagamoyo, wananchi watapata taarifa rasmi. Hakutakuwa na siri katika mkataba wowote utakaosainiwa," alisema Mbossa. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx