У нас вы можете посмотреть бесплатно CHATO KUWA MKOA: YACHAFUA HALI YA HEWA, JPM AGEUKWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAPENDEKEZO ya kuundwa kwa mkoa mpya wa Chato, yametibua hali ya hewa na kuibua mjadala mzito. Chato ni mahali alikozaliwa hayati John Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliyefariki dunia tarehe 17 Machi 2021, Dar es Salaam. Mchakato wa kuifanya Chato mkoa, ulianzishwa na Hayati Magufuli mwenyewe na hivi sasa mjadala wa kutimiza ndoto yake, umeonekana kuligawa Taifa. Siku ya maziko ya Hayati Magafuli, tarehe 26 Machi 2021, nyumbani kwao, Chato mkoani Geita, wazee wa Chato walimwomba Rais Samia Suluhu Hassan, kukamilisha mchakato huo. Hata hivyo, Rais Samia, alisema mchakato huo uendelee kwa ngazi husika na ikiwa vigezo vya kuufanya kuwa mkoa vitatimia, hakuna tatizo. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: [email protected] 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com