У нас вы можете посмотреть бесплатно Kabla hujanunua Hisa, Sikiliza kwanza majibu haya! - EMILIAN BUSARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hiki ni kipande muhimu kutoka hotuba ya Emilian Busara (MBA, CPA) aliyoitoa kwenye Maonesho ya Vitabu Tanzania. Aligusia misingi ya uwekezaji kwenye hisa kwa namna iliyo wazi, kali, na yenye kueleweka kwa mtu yeyote anayetaka kuingia kwenye soko la hisa bila kupotea. Ni maelezo ambayo yanaweka msingi sahihi kabla ya kufanya uamuzi wowote wa kifedha. Ikiwa unawaza kuanza kununua hisa—haya ndiyo majibu unayopaswa kusikia kwanza. Subscribe kwa mafunzo zaidi ya fedha, uwekezaji, na uchumi. #Uwekezaji #Hisa #VictorBusara #EmilianBusara #BookFairTZ #FinancialLiteracy #StockMarketTZ #InvestSmart