У нас вы можете посмотреть бесплатно BALAA! FATHER KITIMA AFUNGUKIA MAZITO YA MAAFA YA UCHAGUZI MKUU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Sisi tunamiliki mahospitali hapa Ukonga. Askari anaenda pale anawaambia “sista usiwatibu hawa hawa tunataka tuwaone kwenye mochwari, hawa tunataka siwatibu walikuwa wanaleta vurugu”. Mtu ameenda ameumia amepigwa risasi lazima tumtibu, sheria zinaruhusu. Alafu baadaye ndio tunahakikisha kwamba tunatoa taarifa kwa polisi. Kitu cha kwanza kuokoa maisha. Na tulikataa, ilibidi sister apige simu kwa askofu mmiliki wa hiyo hospitali, jimbo la Dar es Salaam. Wengine walikuwa wameumizwa zaidi, mama mmoja amepigwa risasi kwenye tumbao asubuhi siku ya pili baada ya uchaguzi. Tukiri watu wameuawa kwa kupigwa risasi za moto. Hakuna swala la kusema tusubiri Tume. Kuunda Tume ni ishara kwamba ukweli ni fulani unafahamika ila hutaki kutaja. Watanzania wanataka kusikia neno ‘watu wameuawa’, ‘tunakiri kutokea mauaji ya kutumia silaha za moto,’ ‘kutumia risasi’." Father Charles Kitima Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE Youtube Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram