У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hujambo na karibu, tuliyo nayo mchana huu ni pamoja na: Iran yaonya kuwa maandamano yoyote yatakayozuka dhidi ya utawala wa nchi hiyo yatakabiliwa kwa nguvu nzito kushinda iliyotumika mwezi Januari Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasili mjini Paris kufanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron kuhusu kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema ameshtushwa na ongezeko la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani nchini Sudan #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews. Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.