У нас вы можете посмотреть бесплатно ABOUBAKARI KUNENGE AMALIZA MGOGORO MITAMBA ATOA SIKU 60 MKURUGENZI KUPIMA SHAMBA LA MITAMBA NAMBA 34 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa abaoubakari kunenge kumtaka Mkurugenzi wa Kibaha Mji kuhakikisha anapima eneo la mitamba shamba namba 34 ambalo limevamiwa na wananchi. amesema hayo ni mmaagizo hivyo anatakiwa kuhakikisha anapima ili kubainisha maeneo ya uwekezaji na eneo litakalo tumika kwa ajili ya makazi. hata hivyo Mkuu wa Mkoa amewataka wananchi kuanza kuvunja wenyewe taratibu ili kuanza kuokoaa baadhi ya vifaa ambavyo wataweza kuvitumia katika eneo lingine kwa ajili ya ujenzi kwani eneo hilo wamevamia bila kufuata utaratibu.