У нас вы можете посмотреть бесплатно CHANZO AJALI BASI LA SHABIBY LABAINIKA, DEREVA AKAMATWA WATU 22 WANUSURIKA KIFO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi Morogoro linamshikilia Dereva wa Basi la Shabiby, Sadick Said kwa kusababisha Ajali iliyojeruhi Watu 22. Ajali hiyo iliyohusisha Basi la Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU lililokuwa linafanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma imepata ajali maeneo ya Kihonda kwa Chambo Mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa Mashuhuda wa ajali hiyo wameieleza Manara Tv kuwa chanzo kimesababishwa na dereva wa basi hilo kutaka kuyapita magari megine bila ya kuchukua tahadhari. Daktari #manaratv #hajimanara #diamondplatnumz #bugati #millardayo #mwijaku #bbcnews #wasafimedia #dottomagari wa Magonjwa ya dharura Dkt. Nafsa Marombwa ameeleza katika majeruhi 22 wanawake ni 15 na wanaume 7 huku watano miongoni mwao wakiwa katika hali ya uangalizi zaidi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Alex Mkama amesema Jeshi hilo linamshikilia dereva wa basi hilo na uchunguzi utakapokamilika atafikishwa Mahakamani. Basi hilo lilikuwa na jumla ya abiria 57 ambapo Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 12:30 asubuhi leo Mei 25 mkoani Morogoro.