У нас вы можете посмотреть бесплатно UVAMIZI wa TEMBO MKINGA WAZUA BALAA, WANANCHI WALIA NJAA MAZAO YAHARIBIWA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UVAMIZI wa TEMBO MKINGA WAZUA BALAA, WANANCHI WALIA NJAA MAZAO YAHARIBIWA... Uvamizi wa Tembo katika Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga umetajwa kama sababu kubwa inayosababisha jamii hiyo kukabiliwa na njaa kutokana na wanyama hao kuvamia makazi ya wananchi na kuharibu mazao yao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Tanga Rajabu Abdulrahaman Abdalah wakati wa mkutano wake wa hadhara alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata ya bwiti katika wilaya ya mkinga. Mwenyekiti Rajabu ameiomba serikali kupitia wizara husika kutafuta ufumbuzi wa kero hiyo ambayo inasababisha wananchi kuathirika kiuchumi. Nae mbunge wa Mkinga Mhe Dastan Kitandula akapaza sauti yake, sambamba na kuiomba serekali jambo hilo litapatiwe ufumbuzi wa kudumu ili nguvu ambayo wanaitumia wananchi shambani isiendelee kuathiriwa na wanyama. Tembo hao wanadaiwa kutokea kwenye hifadhi ya taifa ya Mkomazi iliyopo katika wilaya ya same mkoani Kilimanjaro na hifadhi nyingine ya nchi jirani ya Kenya CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx