У нас вы можете посмотреть бесплатно DHABIHU || GRACE HAPPY || Official Video ( SKIZA 6622223 ) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Neema ya YESU Na upendo wake Ni dhabihu ya ajabu Gethisemane, matone ya damu ni neema ya ajabu Kikombe cha mateso kama ni mapenzi yako baba niondolee ni neema ya ajabu Gethisemane matone ya damu ni neema ya ajabu Nacho kikombe cha mateso kama ni mapenzi yako baba niondolee ni neema ya ajabu Ee BWANA, Ninakushukuru kwa neema Ninakushukuru kwa upendo Ninakushukuru kwa kufanyika kuwa dhabihu dhabihu iliyo hai kwa ondoleo la dhambi zetu Mkuki ubavuni, damu na maji katoka ni neema ya ajabu Baba wasamehe, kwa kuwa wanatenda wasilolijua ni neema ya ajabu Msalabani na yote yamekwisha ni neema ya ajabu Mkuki ubavuni damu na maji katoka ni neema ya ajabu Baba wasamehe kwa kuwa wanatenda wasilolijua ni neema ya ajabu Msalabani na yote yamekwisha ni neema ya ajabu Damu ya YESU na mwili wake ni neema ya ajabu. Nacho kifo cha aibu wokovu tukaupata ni neema ya ajabu Ondoleo la dhambi sauti ya hukumu ikawa kimya ni neema ya ajabu Ametupa mamlaka nguvu za adui hazitatuweza ni neeema ya ajabu Hiyo damu ya YESU na mwili wake ni neema ya ajabu kifo cha aibu wokovu tukaupata ni neema ya ajabu Ondoleo la dhambi sauti ya hukumu ikanyamaza kimya mmm... ni neema ya ajabu Ametupa mamlaka nguvu za adui hazitatuweza aah... Neema ya Yesu na upendo wake ni dhabihu ya ajabu.