• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

MFAHAMU SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI ZANZIBAR ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA скачать в хорошем качестве

MFAHAMU SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI ZANZIBAR ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MFAHAMU  SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI  ZANZIBAR  ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: MFAHAMU SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI ZANZIBAR ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно MFAHAMU SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI ZANZIBAR ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон MFAHAMU SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI ZANZIBAR ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



MFAHAMU SITTI BINT SAAD MWIMBAJI TAARABU VISIWANI ZANZIBAR ALIYE TIKISA NA SAUTI YAKE YA KUVUTIA

Siti binti Saad alizaliwa Fumba, Zanzibari, 1880 akapewa jina la 'Mtumwa' kwa vile alizaliwa kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa na kabaila mmoja wa Kiarabu)[1] alikuwa mwimbaji wa Zanzibar. Baba yake bwana Saadi alikuwa ni Mnyamwezi kutoka Tabora na mama yake alikuwa Mzigua toka Tanga, lakini wote wawili walizaliwa Zanzibar. Hali ya maisha ya familia yao ilikuwa ni duni sana na walijishughulisha zaidi katika shughuli za kilimo na ufinyanzi kazi ambazo Siti alijifunza na kuzimudu vizuri pia. Kama Waswahili wasemavyo "kuzaliwa masikini si kufa masikini", Siti alibarikiwa kuwa na kipaji cha pekee cha uimbaji. Kipaji hiki kilimsaidia sana tangu siku za awali ya maisha yake kwani alitumia uimbaji wake kuuza vyungu vya mama yake alivyokuwa akimsaidia kuvitembeza. Siti alipoimba sauti yake iliweza kupaa na kusafiri kwa umbali wa maili nyingi na hii ndio ilikuwa ishara ya watu kujua kwamba vyungu vya kina Mtumwa vinapita leo. Alifananishwa kuwa na mapafu yenye nguvu kama ya simba kutokana na alivyoweza kupaza sauti yake mbali na bila kuachia pumzi. Kutokana na wakati huo elimu kwa watoto wa kike kutotiliwa mkazo, Siti hakuwahi kwenda shule wala kuhudhuria mafunzo ya Kurani. Hivyo mnamo mwaka 1911 aliona ni bora ahamie mjini ili kuboresha maisha yake zaidi. Ujio wake wa mjini ulikuwa wa neema kwani alikutana na bwana mmoja wa kundi la muziki wa Taarabu la "Nadi Ikhwani Safaa" aliyeitwa Muhsin Ali. Katika kipindi hicho, hilo ndilo lilikuwa kundi pekee la muziki wa taarabu lililoanzishwa na Sultani mpenda starehe na anasa bwana Seyyid Barghash Said. Kundi hili lilikuwa ni la wanaume peke yao, wanawake hawakuruhusiwa kujiunga na vikundi vya muziki kwa vile ilikuwa ikichukuliwa kama ni uhuni. Bwana Muhsin alikiona kipaji cha pekee cha Siti na hivyo akajitolea kumfundisha kuimba kwa kufuata vyombo vya muziki na lugha ya kiarabu. Baada ya hapo alikwenda kumtambulisha kwa wanamuziki wenzie wa "Nadi Ikhwani Safaa" ambao bila kusita wakaanza kufanya naye maonyesho mbalimbali katika jamii. Walipata mialiko mingi hasa kutoka kwa Sultani na matajiri wengine wa Kiarabu, pia katika harusi na sherehe zingine mbalimbali, inasemekana ulifika wakati ambapo sherehe ilishindwa kufana kama Siti binti Saadi hakuwepo kutumbuiza. Siti alikuwa ni moto wa kuotea mbali na jina lake lilivuma kwa haraka sana hadi nje ya mipaka ya nchi na bara la Afrika. Na punde Siti alianza kufananishwa na 'Umm Kulthum', mwimbaji mahiri wa kike aliyetamba wakati huo kutoka Misri.[2] Kama nilivyosema moto wa Siti ulikuwa si wa kuusogelea karibu, mwaka 1928 kampuni ya kurekodi muziki ya Columbia and His Master's voice yenye makazi yake Mumbai India ilisikia umaarufu wa Siti binti Saadi na hivyo ikamwalika yeye pamoja na kundi lake kwenda kurekodi kwa lugha ya Kiswahili ili kujaribu kama muziki wake utauzika. Kampuni ile haikuweza kuamini jinsi muziki ule ulivyouzika kwa kasi kubwa kwani wastani wa santuri 900 ziliweza kuuzika katika kipindi cha miaka miwili ya mwanzo, na hadi kufikia 1931 santuri 72,000 zilikuwa zimeuzwa. Kutokana na kusambaa kwa santuri hizi, umaarufu wa Siti ulizidi mara dufu na watu kutoka sehemu mbalimbali za dunia walizuru Zanzibari kumwona. Mambo yalizidi kuwa mazuri kwa Siti hadi ikafikia hatua kampuni ya kurekodi ya Columbia kuamua kujenga studio ya kurekodi muziki palepale Zanzibar maalumu kwa ajili ya Siti binti Saadi.

Comments
  • Путин пошёл на крайние меры / Срочное обращение к силовикам 4 часа назад
    Путин пошёл на крайние меры / Срочное обращение к силовикам
    Опубликовано: 4 часа назад
  • Yalaiti 11 лет назад
    Yalaiti
    Опубликовано: 11 лет назад
  • История Мухаммеда — человек, изменивший мир | История на ночь 1 месяц назад
    История Мухаммеда — человек, изменивший мир | История на ночь
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Grand Orchestre Taarab de Zanzibar feat. Makame Faki 9 лет назад
    Grand Orchestre Taarab de Zanzibar feat. Makame Faki "Salaam Aleikum"
    Опубликовано: 9 лет назад
  • Что НАСА обнаружило на Ио 10 дней назад
    Что НАСА обнаружило на Ио
    Опубликовано: 10 дней назад
  • #-DONGO NA MAKAME WATEGA KUNGUNI 2 года назад
    #-DONGO NA MAKAME WATEGA KUNGUNI
    Опубликовано: 2 года назад
  • «Надежда» – Зара и Лев Лещенко. 1 день назад
    «Надежда» – Зара и Лев Лещенко.
    Опубликовано: 1 день назад
  • Джеймс Уэбб всё разрушил: Конец современной космологии 8 дней назад
    Джеймс Уэбб всё разрушил: Конец современной космологии
    Опубликовано: 8 дней назад
  • NADI IKHWAN SAFAA KWA MARA YA KWANZA WATUMBUIZA FUMBA 8 лет назад
    NADI IKHWAN SAFAA KWA MARA YA KWANZA WATUMBUIZA FUMBA
    Опубликовано: 8 лет назад
  • Siti Bint Saad nyota ya Zanzibar 6 лет назад
    Siti Bint Saad nyota ya Zanzibar
    Опубликовано: 6 лет назад
  • HISTORIA YA MAISHA YA SITI BINT SADI KUTOKA FUMBA NA KUHAMIA MAPIPA YA NGOZI 6 лет назад
    HISTORIA YA MAISHA YA SITI BINT SADI KUTOKA FUMBA NA KUHAMIA MAPIPA YA NGOZI
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Обращение Трампа к нации в Конгрессе / прямой эфир на русском языке Трансляция закончилась 2 часа назад
    Обращение Трампа к нации в Конгрессе / прямой эфир на русском языке
    Опубликовано: Трансляция закончилась 2 часа назад
  • ИСТОРИЯ ЗОЛОТОЙ ОРДЫ ЗА 17 МИНУТ | THE GOLDEN HORDE EXPLAINED IN 17 MINUTES 1 год назад
    ИСТОРИЯ ЗОЛОТОЙ ОРДЫ ЗА 17 МИНУТ | THE GOLDEN HORDE EXPLAINED IN 17 MINUTES
    Опубликовано: 1 год назад
  • Bi Kidude & Vanessa Mdee Interview 12 лет назад
    Bi Kidude & Vanessa Mdee Interview
    Опубликовано: 12 лет назад
  • 🔴#LIVE:SHEIKH KISHKI ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU/KESI YA LISSU YAIBUA MAPYA/
    🔴#LIVE:SHEIKH KISHKI ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU/KESI YA LISSU YAIBUA MAPYA/
    Опубликовано:
  • Muhogo wa jangombe 5 лет назад
    Muhogo wa jangombe
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Kijiti 5 лет назад
    Kijiti
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Расслабляющая музыка для души и нервной системы🌿 Спокойные утренние мелодии 🌸 #2 1 день назад
    Расслабляющая музыка для души и нервной системы🌿 Спокойные утренние мелодии 🌸 #2
    Опубликовано: 1 день назад
  • Suhuba Ya Dai 1 год назад
    Suhuba Ya Dai
    Опубликовано: 1 год назад
  • 17 часов назад
    "ТРАМП РЕВНУЕТ ЗЕЛЕНСКОГО" - ФИЛИППЕНКО, "СУПЕРВТОРНИК"/ Годовщина войны, секретные переговоры, НЛО
    Опубликовано: 17 часов назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5