У нас вы можете посмотреть бесплатно Afya ya wafanyakazi sio gharama… ni uwekezaji. 💼✨ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Afya ya wafanyakazi sio gharama… ni uwekezaji. 💼✨ Kampuni yoyote inayotaka kuongeza uzalishaji (production) lazima izingatie afya ya watu wake. Mfanyakazi mwenye afya bora ana nguvu, umakini, morali ya kazi, na ufanisi mkubwa kazini. Katika podcast hii tumejadili: ✔ Umuhimu wa afya kazini ✔ Athari za kupuuza ustawi wa wafanyakazi ✔ Jinsi afya inavyochangia productivity ✔ Nini waajiri wanapaswa kufanya kuongeza performance Maendeleo ya production yanaanza na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ndani ya kampuni. Tazama, jifunze, na shiriki maarifa haya kwa wengine. 🔥