У нас вы можете посмотреть бесплатно JIEPUSHE TANGU LEO NA DHAMBI YA MANUNG'UNIKO ; HESABU 21 : 4 - 9 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Neno manung'uniko kingereza ni complain lenye maana ya Manung'uniko au Mashitaka ni tabia kuu ya wanadamu wanapopitia katika mambo magumu au magonjwa katika miili yao, au uchumi wao kutokwenda vizuri, au ya kukosa mahitaji ya lazima kama vile maji, chakula na sisi watu wa mjini kukosa umeme, mvua inaponyesha nyingi na kuharibu miundo mbinu na nyumba na mazao, au bila kutarajia kwa wanandoa, na mengine mengi kama vile kuchelewa kulipwa mishahara , gari kuharibika wakiwa safarini na kuchelewa kufika kuachishwa kazi ghafla , kuchelewa kuzaa mume au mke kufa ghafla; hayo yote yanapotokea; jambo la kwanza jepesi sana analofanya mwanadamu ni kulalamika/kunung'unika kwa Mungu na kuwa serikali na kwa watumishi wa Mungu . Mwanzo 3 : 9 - 10, Kutoka 15 : 23 - 26, Kutoka 16 : 1 - 4, 17 : 1 - 4, Hesabu 14 : 1 - 10, Hesabu 16 : 41 - 50 NOTE; Mambo haya yote yanapompata mwanadamu mara moja yanamfanya asahau mema ( wema wote ambao amefanyiwa na Mungu /watu!!! mambo mabaya yanapotupata yanafuta kumbukumbu ya mambo mema yote ambayo Mungu ametufanyia katika maisha yetu na kuamsha hasira ya Mungu juu yetu haraka sana.) Na; Askofu Dr. L. Mwizarubi