У нас вы можете посмотреть бесплатно FANYENI UBIA MSIUZE - KATIBU MTENDAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wizara ya Ardhi Zanzibar imewaomba Wananchi kuendelea kumiliki ardhi zao na kutokubali kuingizwa kwenye hasara kwa kutoa ardhi zao kiholela kwani kufanya hivyo ni kujidhulumu wao na vizazi vyao. Hayo ameyasema Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar, Mussa Kombo Bakari katika mkutano wa wa kutoa elimu katika maeneo mbali mbali ikiwemo ukanda wa Pwani ambapo kuna biashara kubwa ya utalii Nungwi ambapo wananchi wengi wameuza maeneo yao kwa wawekezaji. Katibu Mtendaji amesema kwamba wapo watu ambao wametoa ardhi zao kwa wawekezaji ambao waliingia kwenye biashara ambazo sio fani zao matokeo yake wakapata hasara kubwa biashara haikuendelezwa na wananchi wakawa washakosa maeneo yao ya ardhi kwa kuotoa na kuwauka wawekezaji ambao wanafanya biashara ya kubahatisha. Amesema wananchi wanapojiwa kutakiwa maeneo yao ya ardhi basi wasikubali moja kwa moja na wasikubali kughilibiwa bali watafute mashauriano na wataalamu wa ardhi ili wapate asilimia fulani ili wasipoteze thamani ya ardhi zao na kubaliwa maskini.