У нас вы можете посмотреть бесплатно NGUVU YA AKILI KATIKA KUPATA UTAJIRI |Bob Proctor, Think and Grow Rich & The Science of Getting Rich или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii ya kipekee, Bob Proctor anaelezea kwa kina safari yake ya maisha—kutoka hali ya maisha magumu, kukosa mwelekeo, hadi kufanikiwa na kutimiza ndoto zake kubwa. Bob Proctor anasimulia jinsi: Alivyokuwa hana maisha mazuri wala matumaini ya mafanikio Alivyokutana na mtu aliyempa kitabu Think and Grow Rich cha Napoleon Hill Baadaye akakutana na Conant, aliyempa kitabu The Science of Getting Rich cha Wallace D. Wattles Na jinsi alivyoambiwa afuate kile kilichoandikwa ndani ya kitabu hicho bila kubadilisha chochote Kupitia Sayansi ya Kupata Utajiri, Bob Proctor alielewa kuwa: Mafanikio si bahati, bali ni SAYANSI Utajiri huanza akilini kabla haujaonekana kwenye maisha ya mtu Kitabu hiki kilimfundisha namna ya kufikiri, kuamini, na kuchukua hatua kwa kufuata sheria za ulimwengu—na ndipo safari yake ya mafanikio ilipoanza kubadilika kabisa. Habari njema! Mimi pia nimekitafsiri na kuandika kitabu cha The Science of Getting Rich kwa Kiswahili, kwa lugha rahisi na inayoeleweka, ili kila mtu aweze kunufaika na maarifa haya muhimu. Bei: Tsh 4,000 tu Wasiliana nami kupitia namba: 0759 551 270 Usikose fursa ya kubadilisha namna unavyofikiri na kuanza safari yako ya mafanikio leo. #SayansiYaKupataUtajiri #BobProctor #TheScienceOfGettingRich #ThinkAndGrowRich #Mafanikio #Utajiri #AkiliNiUfunguo #NafasiYaMafanikio #VitabuVyaMafanikio #MotivationSwahili