У нас вы можете посмотреть бесплатно Biashara I Wafanyibiashara wahimiza kulipwa kwa madeni yaliyopo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanyibiashara wamerejelea miito ya kulipwa kwa madeni yaliyopo katika mashirika ya serikali na kukingwa kwa zabuni za umma kwa minaajili ya kampuni za humu nchini, wakionya kwamba kucheleweshwa kwa malipo na kutofikiwa kwa kandarasi za umma kunaathiri biashara ndogo ndogo na za kadri. Katibu wa uwekezaji na usimamizi wa mali ya umma Cyrell Odede, amesema mikakati inatekelezwa kuweka nyakati mahsusi za malipo ili kurejesha imani ya wasambazaji bidhaa. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive