У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#TANZANIA: Kijana amvaa Paul Makonda, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu ziara yake katika mikoa mbali mbali anayoendelea nayo, amesema anachokifanya ni maigizo kwani chanzo cha matatizo yote anayokutana nayo chanzo ni chama chake cha CCM, amedai wote hao wanaoleta matatizo ni makada wa chama cha Mapinduzi ambao pia ni wateule wa Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania, amehoji utendaji kazi wa mfumo wa utoaji haki nchini humo akihusianisha na kauli yake ya "wanyonge wasikimbilie Mahakamani waende kwake" amemkumbusha kuhusu aliyokuwa anayafanya Hayati JPM wakati wa utawala wake lakini tangu aondoke Wananchi wamerudi kuteseka tena, amemshauri awe wa kwanza kudai Katiba Mpya ili nchi iwe na mifumo mizuri ya kujiendesha. Credit: Nguvu ya Mungu