У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIELEZEA ALIVYOKAA KARANTINI BAADA YA KUTOKA NCHINI CUBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
[14:01, 4/3/2020] +255 774 848 800: Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wananchi kuzingatia kwamba Karantini wanaowekewa Watu walioingia Nchini kutoka Nje ya Nchi sio adhabu bali ni utaratibu unaozingatia Muongozo wa Wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Mafua na Homa Kali ya Mapafu. Balozi Seif Ali Iddi ametoa tahadhari hiyo huko Nyumbani Kwake Mtaa wa Kama Kaskazini Kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akitoa Taarifa kwa Umma baada ya kumaliza muda wake wa wa mapumziko ya Siku 14 zinazomuwajibika Kila Msafiri aliyeingia Nchini kutoka nje ya Nchi kwa mujibu wa Wataalamu. Hata hivyo Balozi Sif alisema kwa mujibu wa Wataalamu wa Sekta ya Afya walimshauri aendelee kuongeza Siku Saba Zaidi ili kumaliza vyema Karantini hiyo. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliwapongeza Mawaziri wa Afya wa Serikali ya Muungano waTanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa jitihada wanazoendelea kuzichukuwa katika kuipatia Jamii Taarifa sahihi juu ya muenendo mzima wa Virusi vya Corona.