У нас вы можете посмотреть бесплатно Annoint Amani - Yeshua Bwana Wangu (official Music video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#yeshuabwanawangu#annointamani# Yeshua ni jina la Yesu kwa rugha ya kiebrania kutoka Israel, Yeshua Kwa rugha ya kiswahili anaitwa Yesu, Kwa kiingereza yani English anaitwa Jesus, Lakini Israel wanamuita Yeshua, Yeshua ndo jina halisi lililo tafsiriwa kwa rugha zote duniani ukiacha Israel. (WIMBO HUU UMEANDIKWA NA KUIMBWA KWA UWEZO WA MUNGU KUPITIA MTUMSHI WAKE ANNOINT AMANI) Lengo kuu ni kumsifu Yeshua yani Bwana Yesu kwa sehemu ndogo tu ambayo Mungu mwenyewe ame iruhusu, 1Nikumpa Yeshua yani Yesu sifa yake ndogo kati ya kubwa na nyingi alizo nazo, 2,Ni ili watu wengine wamjue Yeshua yani Yesu kwa undani zaidi, Na kumuona kwa mzamo mpya mkubwa usio wa kawaida ya siku zote. Song,Yeshua Bwana wangu Artist,Annoint Amani Album, Mimi ndie Mungu pekee Booking, +255767240181= +255755099942) Directed by Yuzzo +255 683 550 697 (Hanscana Brand Production) AUDIO A.E A Tones pro by meddy DAR ES SALAAM TANZANIA )