У нас вы можете посмотреть бесплатно KTN yafichua jinsi JKIA ilivyogeuzwa njia dhaifu ya usafirishaji dawa za kulevya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Lango kuu lenye shughuli nyingi zaidi Afrika Mashariki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, upo katikati ya kashfa ya kimataifa ya dawa za kulevya. Kitengo cha uchunguzi cha KTN kimekusanya ushahidi unaoonyesha jinsi mojawapo ya viwanja vya ndege vyenye shughuli nyingi zaidi barani Afrika kimegeuka kuwa njia dhaifu ya usafirishaji wa mihadarati ya kimataifa. Raia mmoja wa Uingereza aliyekamatwa akiwa na dawa za kulevya za daraja la A na B, ikiwemo kokeini yenye thamani ya mamilioni ya shilingi, alifanikiwa kupita moja kwa moja kwenye ukaguzi ambao unadaiwa kuwa wa kiwango cha juu katika JKIA, akisaidiwa na maafisa wa usalama na wa uwanja wa ndege waliomhakikishia apande ndege kuelekea London bila tatizo. Lakini katika Uwanja wa Ndege wa Heathrow, safari yake iliishia kwa pingu mikononi baada ya Kikosi Maalum cha Uhalifu cha Polisi wa Jiji la London kumkamata. Mwanahabari mpekuzi Francis Ontomwa na taarifa kamili. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews . #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / ktnnewskenya Follow us on Twitter: / ktnnewske Like us on Facebook: / ktnnewskenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on / ktnnews Like us on / ktnnews