У нас вы можете посмотреть бесплатно DanZak - Mubashara ft. Passo (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MMP Entertainment presents "MUBASHARA" by DanZak and a reintroduction of Passo, the talented singer/songwriter from Manzese - Dar Es Salaam, Tanzania. “Mubashara” means direct/live and in this project DanZak & Passo praise their loved ones and ask them to express their love directly while allowing others watch live and should it burn them, then let them be. Without worrying or holding back, in love, two people should be able to express their feelings towards each other freely regardless of the situation, environment or circumstances, for love always wins. It’s an up-tempo song written by Passo and DanZak, sang in Swahili with a few Arabic words and the singing style is a blend of bongo flava with Arabic fusion that DanZak calls AFRABIAN FUSION. The audio is Produced by MoccoGenius from Tanzania mixed and mastered by Mr. Simon from Norway. The video is Directed by Director Joowzey from Tanzania, shot in the beautiful island of Zanzibar, promoting both the beach sceneries and the beautiful streets of the stone town area; edited by DanZak and color graded by Director Justin Campos from South Africa. Listen to more music from DanZak here: https://ffm.bio/danzak © 2022 Music MasterPieceEntertainment (MMP) Connect with DanZak: / danzak / danzak / danzak Connect with Passo: / passomusic _______________________________ Lyrics: Hey Danny, woah woah woah woah waah Na Passo, Wooooh wooooh Wana wana wana wana wana Wana mawivu Wana wana wana wana wana Wajinyonge Mocco Mtoto sampuli ya Makkah upole wa Madina Mixer uturi kupaka vidole hina Visato sato na papa kwenye jiko la mchina Haaa kidori matata utamu mwili mzima Chumbani hunipoza joto Kwa vinakshi nakshi vya kihindi Cha mkwezi kimoko moko Nikiweka bao la ushindi Poleni nyi viropo ropo Penzi langu la rangi nyingi Haaaaa Ni fundi wa kudeka deka kudengua Jicho lime tepeta kurembua N’gari n’gari Masha Allah Nahonga sumni na dola Ah fundi kupekecha pekechua Maepe cheketu cheketua Somo hajala hasara Walieko he wallah Nipe penzi waone, mubashara Ah mahasidi wasonone, mubashara Oooh ukiwashwa nikukune, mubashara Oooh ouh uhooo, haaaa, mmmmhmm Mmmmmh mmhhh mmmhhhh Oooh aaah yeheee Mmmmmh mmhhh mmmhhh aaaahhh Mmmhhh Upepo mwanana unapo vuma Hunikinga kidigitali Alisha jua napenda wima Kibuyu toweza asali Fundi wa sugua sigina Na mapana ya jodari Mdele fungua kisima Nami kata iko tayari yallah Ya shababi yallah Jivune umepata shababi yallah Ya shababi yallah, yallah haaaa Fundi wa kudeka deka kudengua Jicho limerepeta kurembua N’gari n’gari Masha Allah Nahonga sumni na dola ah Ah fundi kupekecha pekechua Maepe cheketu cheketua Somo hajala hasara Mwalieko he wallah Nipe penzi waone, mubashara Mahasidi wasonone, mubashara Oooh ooouh ukiwashwa nikukune, mubashara Houhoo, oooooh, mubashara Haa, haa, haaaaa Ya habibi, habibi We ndio ua langu waridi, habibi Ninapo pungua unazidi, habibi habibi We ndio wangu wanifariji, habibi Ya habibi, habibi Wengi hawataki watuone, habibi Ya habibi, habibi, habibi Haaaa oooh Wana wana wana wana wana Wana mawivu Wana wana wana wana wana Wajinyonge Mpaka kiitike #DanZak #Passo #Mubashara