У нас вы можете посмотреть бесплатно TAARIFA YA UZINDUZI WA JENGO USHIRIKA WA FOREST MPYA MBEYA,MILION ZAID YA 380 ZIMETUMIKA KUKAMILISHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaidi ya shilingi milioni 380 zimetumika katika ujenzi wa majengo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa jengo la kuabudia katika kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Forest mpya jijini Mbeya. Akisoma taarifa ya ujenzi katika ibada ya Uzinduzi wa jengo la kuabudia katika ushirika wa Forest mpya, mchungaji wa ushirika huo Alfred Kashililika amesema fedha hizo zimetokana na waumini pamoja na wadau mbalimbali. Aidha mch.Kashililika ameongeza kuwa ushirika huo ulianza January 2021 ukiwa na waumini 84 na mpaka sasa unazinduliwa una waumini 226 ikiwa ni idadi ya watoto na watu wazima. Nae Mwenyekiti wa kamati ya Uzinduzi Hulimboka Tuntufye Mwandoloma amewashukru wote walishiriki na kufanikisha ibada hiyo ya Uzinduzi wa jengo la kuabudia. Akiwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa jengo hilo, askofu wa wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi mch.Robert Pangani amesema kukamilika kwa kazi hiyo ya ujenzi anapaswa kushukriwa Mungu huku akiwataka wote walishiriki kutokuwa na roho ya kujisifu.