У нас вы можете посмотреть бесплатно CCM Naberera iko mikono salama, msiiangalie kwa jicho dogo - Mh.Munga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
CCM Naberera iko mikono salama, msiiangalie kwa jicho dogo wakidhani wataweza kupenyeza hujma zao, hilo halipo labda wakatafutebkata zingine na sio Naberera. Hayo yamebainishwa na Diwani wa Kata ya Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara Mh.Marco Munga kwenye Maadhimisho ya miaka 46 ya kuzaliwa Kwa CCM, ambapo Kiwilaya yalifanyika katika Kata ya Naberera Wilayani humo. Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo Mh.Kiria Ormemei Laizer, huku ikihudhuliwa na Kamisama wa Chama Mkuu wa Wilaya hiyo Dkt.Suleiman Serera, Madiwani mbalimbali kama Diwani wa Kata ya Endiamtu Mh.Lucas Zacharia Chimba. Madiwani wengine waliohudhuria Maadhimisho hayo ni Diwani wa Kata ya Mirerani Mh.Salome Mnyawi, Diwani wa Kata ya Naisinyai Mh.Taiko Kurian Laizer, Diwani wa Kata ya Shambarai Mh.Julius Mamasita, Diwani wa Kata ya Loiborsiret Mh.Kiduya Siria pamoja na Diwani wa Kata ya Ngorika Mh.Albert Msolle. Hata hivyo Pia sherehe hiyo ikihudhuliwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilayani humo Mh. Haiyoo Mamasita, Kaimu Katibu wa Wazazi Wilaya na Katibu wa Uvccm Wilaya hiyo Azizi, pamoja na Katibu wa CCM Wilaya Amos Shimba huku Katibu wa UWT Wilaya hiyo Leocadia Jamian Fisoo naye alikuwepo katika kuhakikisha masuala yote yanakaa vizuri hususani katika zoezi zima la uandaaji na ukataji wa keki ya kuzaliwa kwa CCM.