У нас вы можете посмотреть бесплатно Mogadishu yaandaa uchaguzi wa kihistoria wa manispaa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Somalia imepiga hatua muhimu ya kidemokrasia baada ya jiji la Mogadishu kuandaa uchaguzi wa manispaa, uliotajwa kuwa hatua kubwa kuelekea utawala wa kidemokrasia na uwajibikaji. Rais Hassan Sheikh Mohamud aliwahimiza wakazi kushiriki kwenye uchaguzi huo kwa amani. Uchaguzi huo ni wa kwanza kufanyika tangu uchaguzi wa moja kwa moja wa mwaka 1969, miezi michache kabla ya jenerali wa jeshi Mohamed Siyad Barre kuchukua madaraka kupitia mapinduzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive