У нас вы можете посмотреть бесплатно Alshabab walishambulia basi ,Lamu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu watatu wamethibithwa kufariki, na wengine kujeruhiwa adhuhuri ya leo baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Alshabaab kulishambulia basi. Basi hilo lililokuwa likielekea Lamu kutoka jijini Mombasa mapema lilishambuliwa eneo la Nyongoro na wavamizi Anavyotuarifu Gloria Milimu,shambulizi hilo linatokea siku chache tu baada ya shambulizi sawia kushuhudiwa katika kaunti ya Mandera ambapo watu 7 wakijumuisha wafanyakazi wa shirika la maji kaunti hiyo kunusurika kifo baada ya kushambuliwa na wanamgambo hao.