У нас вы можете посмотреть бесплатно SOMO LA UVUNAJI PARACHICHI LIMEELEWEKA – WASHIRIKI WAONESHA KWA VITENDO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Washiriki wa mafunzo kuhusu uvunaji sahihi wa parachichi yaliyoandaliwa na (COPRA) kwa wadau wa Nyanda za Juu Kusini, wamethibitisha kuelewa maudhui kwa kuonesha kwa vitendo mbinu sahihi za utambuzi wa ukomavu wa matunda na uvunaji unaozingatia ubora. Zaidi ya wavunaji 50 wa parachichi kutoka Halmashauri ya Mji Njombe wamenufaika na mafunzo hayo yaliyofanyika Machi 03-04 2026,yakilenga kuboresha viwango vya uzalishaji na ushindani wa zao hilo sokoni. Washiriki hao wanatarajiwa kuwa chachu ya kueneza elimu waliyoipata kwa wakulima na wachumaji wengine, hatua itakayosaidia kupunguza hasara baada ya mavuno na kuongeza kipato kupitia uzalishaji unaozingatia viwango vya soko la ndani na nje.