У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI YA KUPUNGUZA MADENI YA BIDHAA ZA AFYA BOHARI YA DAWA MEDICAL STORES DEPARTMENT MSD или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JINSI YA KUPUNGUZA MADENI YA BIDHAA ZA AFYA BOHARI YA DAWA MEDICAL STORES DEPARTMENT MSD Hali ya upatikanaji wa bidhaa za afya hapa Nchini imeendelea kuimarika siku hadi siku. Licha ya kuimarika huko, bado kuna changamoto kadhaa ambazo tunapaswa kukabiliana nazo. Mojawapo ya changamoto hizo ni madeni ambayo bohari ya dawa (medical stores department) inadai kwa baadhi ya wateja wake. Madeni haya yana visababishi kadhaa ikiwemo matumizi ya fedha za mapato ya vituo yasiyofuata miongozo pamoja na kutoelewa vizuri kutafsiri taarifa mbalimbali zinazopatikana katika mifumo ya ugavi wa bidhaa za afya. Katika makala hii tumeeleza kwa kutumia mifano halisi namna ambavyo makosa yanafanyika wakati wa kuagiza bidhaa za afya kwa waagizaji kushindwa kutafsiri vizuri taarifa zilizopo kwenye mfumo wanaotumia kuagiza unaofahamika kama electronic logistics management information system (eLMIS)