У нас вы можете посмотреть бесплатно Jay Melody - Turudiane (Official Lyrics) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
LYRICS Onaa naaa nana nanaaaah Anaitwaje uyo jay Jay once again Nilikukosea naomba unisamehe Nishajionea kwamba sina lolote Bila wewe siwezi endelea Naomba tuendelee Yalikua matamu mapenzi yetu Yalikua super aaah Ex dua gani uliyoisoma ah Kama ndo chamoto nimekiona Aku siwezi Kujifanya niko sawa kumbe inachoma Inaumiza Nimeshindwa kukaza mwanzako natakaa Turudiane Mwenzio nataka Turudiane Mwenzako nataka aah Turudiane Mwenzio nataka Turudiane Once again Verse 2 Saa sita saa saba usiku Nitakupigia nna kitu Nawe pokea japo tu Nikuongeleshe kakitu Huku nje kila mtu wa mtu Nishakua single masiku Basi nielewe kiduchu Tumalize hili beaf Ex dua gani uliyoisoma ah Kama ndo chamoto nimekiona Aku siwezi Kujifanya niko sawa kumbe inachoma Inaumiza Nimeshindwa kukaza mwanzako natakaa Nimeshindwa Ku move on Nimeshindwa Ku move on Hata siwezi Ku move on Wanawezaje Ku move on Stream now in all digital platforms: Audiomack: https://audiomack.com/realjaymelody/s... Connect: With Jay Melody instagram: / realjaymelody Tiktok: / realjaymelody @2025 Jay Melody All rights reserved Learn more #turudiane #jaymelody