У нас вы можете посмотреть бесплатно Miaka 30 ya Benki ya CRDB - Al Barakah Banking или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa miaka 30, Benki ya CRDB imeendelea kuwa kinara wa ubunifu wa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji halisi ya wateja. Mojawapo ya mafanikio yetu makubwa ni kuanzishwa kwa CRDB Al Barakah, huduma za kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu ili kuhakikisha ujumuishi wa kifedha kwa wote. Kupitia huduma hizi, tumewawezesha maelfu ya Watanzania kupata suluhisho la kifedha zinazozingatia imani yao. Rashid Rashid, Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kiislamu, anaeleza safari yetu ya ubunifu katika huduma hizi na jinsi zilivyoleta mabadiliko makubwa kwa wateja na biashara zao. Tukiangazia mbele, Benki ya CRDB imedhamiria kupanua wigo wa fursa zinazoambatana na CRDB Al-Barakah kwa wateja wa ndani na kimataifa kama anavyoeleza Rashid Rashid. #Miaka30YaUbunifu #CRDBAlBarakah #30YearsAnniversary #CRDBBank